Jina la Bi Kidude sio geni Afrika Mashariki. Msanii huyo mkongwe anaedhaniwa aliishi hadi umri wa miaka 100, alitoa mchango mkubwa visiwani Zanzibar katika kuziendeleza nyimbo za zamani za Taarab na ...